Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
'
Arthur Bruce McDonald
(amezaliwa
29 Agosti
,
1943
) ni mwanafizikia kutoka nchi ya
Kanada
. Hasa aligundua mbembeo wa nyutrino unaoonyesha kwamba nyutrino ina
masi
. Mwaka wa
2015
, pamoja na
Takaaki Kajita
, alikuwa mshindi wa
Tuzo ya Nobel ya Fizikia
.
|
Makala hii kuhusu mshindi wa
Tuzo ya Nobel
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Arthur B. McDonald
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|