Archibald Vivian Hill ( 26 Septemba 1886 ? 3 Juni 1977 ) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Uingereza . Hasa alichunguza nishati ndani ya misuli. Mwaka wa 1922 , pamoja na Otto Meyerhof alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .