Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Apokrifa
(kutoka neno la
Kigiriki
?π?κρυφο?,
apokruphos
, yaani "iliyofichika") ni jina linalotumika katika
Ukristo
kuanzia
karne ya 5
kutajia
vitabu
ambavyo
madhehebu
husika hayavikubali katika
Biblia
.
Hivyo vitabu vilevile vinaweza kuwa vitakatifu kwa madhehebu kadhaa lakini si kwa mengine.
Lakini kuna vitabu vingine ambavyo vinatazamwa na Wakristo wote kuwa ni apokrifa, kwa mfano "
Maisha ya Adamu na Eva
".
Maelezo ya undani zaidi yanapatikana katika makala
Deuterokanoni
kuhusu vitabu maarufu zaidi vinavyokubaliwa na
Kanisa Katoliki
na wengineo kama
Neno la Mungu
, lakini si na
Waprotestanti
wengi.
Vitabu vyenyewe
Ufafanuzi
- O. F. Fritzsche and Grimm,
Kurzgef. exeget. Handbuch zu den Apok. des A.T
. (Leipzig, 1851?1860)
- Edwin Cone Bissell
,
Apocrypha of the Old Testament
(Edinburgh, 1880)
- Otto Zockler
,
Die Apokryphen des Alten Testaments
(Munchen, 1891)
- Henry Wace
,
The Apocrypha
("Speaker's Commentary") (1888)
Utangulizi