Andrew Schally (amezaliwa 30 Novemba 1926 ) alikuwa daktari kutoka nchi ya Marekani . Alizaliwa nchini Poland ambako kutoka kwake alikimbia pamoja na wazazi wake mwaka wa 1939. Hasa alichunguza homoni zinazotokea katika ubongo . Mwaka wa 1977 , pamoja na Roger Guillemin na Rosalyn Yalow alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .