Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alfabeti ya Morse (msimbo wa Morse)
ni namna ya kuwasilisha
herufi
,
namba
au
alama
nyingine kwa kutumia mahadhi.
Msimbo
wa Morse inatumia
nukta
na
mistari
, au alama mbili, moja fupi na nyingine ndefu zaidi.
Alfabeti ya Morse imepata
jina
lake kutoka
Samuel Morse
, anayekumbukwa kama mbuni wake. Haitumiwi sana leo kama ilivyokuwa katika
karne ya 19
na 20. Tangu
karne ya 20
teknolojia
tofauti zimechukua nafasi yake.
Kuna aina tofauti za msimbo wa Morse kwa nchi tofauti.
Kuna alama tatu tofauti katika msimbo wa Morse; kuna fupi, kawaida huitwa 'dit', ndefu, inayoitwa 'dah', na kituo. Dah ni ndefu mara tatu kuliko "dit", na kituo huwa na urefu sawa na "dit".
Njia tofauti za kutuma msimbo wa Morse
[
hariri
|
hariri chanzo
]
Msimbo wa Morse unaweza kutumwa kwa njia tofauti. Kwenye
meli
,
taa
zinazoangaza mara nyingi zilitumika badala ya
mawasiliano
ya
redio
.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
teknolojia
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|