Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aleksanda wa Pidna
(
Ugiriki
,
karne ya 3
-
Pidna
, leo nchini
Ugiriki
,
310
hivi) alikuwa
Mkristo
aliyeuawa kwa kukatwa
kichwa
kwa sababu ya
imani
yake wakati wa
dhuluma
ya
kaisari
Maximian
[1]
.
Ndiyo maana tangu zamani anaheshimiwa na
Wakatoliki
na
Waorthodoksi
kama
mtakatifu
mfiadini
.
Sikukuu
yake inaadhimishwa
tarehe
14 Machi
[2]
.
- ↑
http://www.santiebeati.it/dettaglio/45310
- ↑
Martyrologium Romanum
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|