Alama biashara (kwa Kiingereza : trademark ) ni ishara yenye habari kamili ya kwamba jina au kitu fulani vimetokana na uvumbuzi wa pekee, hivyo ni mali ya kampuni iliyovisajili.