Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Katuni
ikionyesha ahadi za
uongo
za
serikali
ya
China
hadi zikaja kujulikana.
Ahadi
ni hali ya kuaminisha au kumuaminishia mtu au watu juu ya
jambo
fulani ambalo unatarajia kulitimiza na kulitekeleza kwa
mtu
au
watu
.
Kwa mfano, ahadi yaweza kutolewa kama
zawadi
,
shukrani
na hata
pongezi
kwa mtu fulani.
Msemo muhimu unafundisha kwamba "Ahadi ni
deni
". Hata hivyo mara nyingi ahadi ni za uongo au hazitimizwi kwa wakati uliopangwa.
|
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Ahadi
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|