Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Afrika ya Kati
ni kanda la bara la
Afrika
iliyoko katikati ya bara. Katika hesabu ya
Umoja wa Mataifa
(UM) nchi 9 zifuatazo huhesabiwa kuwa sehemu zake:
Afrika ya Kati
kwa maana ya mpangilio ya
UM
ni nchi kusini ya
jangwa
Sahara
, mashariki ya
Afrika ya Magharibi
na upande wa magharibi wa
Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki
.
Mto mkubwa wa kanda ni
mto Kongo
.
Mwisho wa ukoloni kati ya 1953-1963 palikuwa na
Shirikisho la Afrika ya Kati
la nchi za kisasa za
Malawi
,
Zambia
na
Zimbabwe
zinazohesabiwa siku hizi kuwa sehemu za
Afrika ya Kusini
au
Afrika ya Magharibi
.