Adam Guy Riess (amezaliwa 16 Desemba , 1969 ) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani . Hasa amechunguza uenezi wa ulimwengu kupitia kwa nyota . Mwaka wa 2011 , pamoja na Saul Perlmutter na Brian Schmidt , alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia .