Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Adıyaman
(kwa
Kizazaki
:
Semsur
) (
Perre
ya kale au
Pordonnium
) ni
mji
uliopo
kusini
-
mashariki
mwa nchi ya
Uturuki
, na pia ni
mji mkuu
wa
Mkoa wa Adıyaman
.
Ni mmoja kati ya miji inayokua haraka zaidi katika nchi ya
Uturuki
.
Idadi
ya wakazi wa huko inaanzia 100,045 (1990) hadi 178,538 (2000) (kwa mujibu wa
sensa
zao).
Mwanzoni mji ulikuwa na
jina
la
Kiarabu
'Hisnimansur' likiwa kama
jina rasmi
la mji hadi kufikia mwaka
1926
, lakini jina hilo likawa gumu kwa
watu
wa Uturuki kulitamka, na badala yake wakawa wanalifupisha na kuliita 'adi yaman' likiwa na maana ya 'jina gumu' au '(eneo) la jina gumu katika Uturuki. Mnamo 1926, jina hilo likawa ndilo jina kamili la mji huu.
|
---|
| |
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Uturuki
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Adıyaman
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|