Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
40°45′36″N
73°59′34″W
/
40.760068°N 73.992654°W
/
40.760068; -73.992654
Jengo la Actors Studio huko West 44th Street mjini Manhattan, -mebadilishwa kuwa kanisa.
Actors Studio
ni shirika la uwanachama kwa ajili ya waigizaji wa kulipwa, waongozaji wa tamthilia na
waandishi
wake katika 432 West 44th Street mjini
Clinton
karibia na
Manhattan
huko
New York City
. Shirika lilianzishwa mnamo tar.
5 Oktoba
1947
, na
Elia Kazan
,
Cheryl Crawford
,
Robert Lewis
na
Anna Sokolow
ambaye ndiye aliyefundisha harakati za waigizaji kuwa wanachama.
[1]
Lee Strasberg
alijunga baadaye na kuchukua uongozi mnamo 1951 hadi kifo chake kunako 17 Februari 1982. Kwa sasa shirika linaendeshwa na
Al Pacino
na
Ellen Burstyn
. Studio hii ni mashahuri sana kwa kazi zake za kuboresha na kufundisha namna ya kuigiza. Wazo hili lilitokana na
Group Theatre
kunako miaka ya 1930 kulingana na uvumbuzi wa
Constantin Stanislavski
. Wakati katika Studio, waigizaji wanafanya kazi pamoja ili kukuza maarifa yao katika hali ya kujitegemea, ambapo wanaweza wakachukua hatua kama waigizaji bila kupata msukumo wowote wa kujihusisha na masuala ya kibiashara.
Kundi hili walikuwa wakifanyia mazoezi yao katika sehemu ya
Princess Theatre
[2]
Mwaka wa 1955 wakahamia katika sehemu yao ya sasa ambapo zamani kulikuwa eneo la kanisa la Wasabato, -mejengwa mnamo 1859.
[3]
Mwaka wa 1965 Actors Studio wamefungua tawi lao huko katika pwani ya magharibi mjini
West Hollywood
,
California
.
The Actors Studio West
inaendeshwa na uongozi wa kisanii-kiongozi ambapo kuna
Mark Rydell
na
Martin Landau
na ni tawi rasmi pekee la Actors Studio duniani.
Rais
Viongozi Wasanii (New York):
Kulingana na historia yake ndefu ya kutoa waigizaji mashuhuri na wenye mafanikio, waongozaji na waandishi waliotokana na studio, ni pamoja na:
[5]
[6]
- A Method to their Madness: The History of the Actors Studio
, by Foster Hirsch. Da Capo Press, 1986.
ISBN 0306802686
.
- The Actors Studio: a History
, by Shelly Frome. McFarland, 2001.
ISBN 0786410736
. cassandra morency
|
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Actors Studio
kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|