Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ace Hood
akiwa Howard University.
Antoine McColister
(anajulikana zaidi kama
Ace Hood
; alizaliwa
Port St. Lucie, Florida
,
Mei 11
,
1988
) ni
rapper
wa
Marekani
.
Ace Hood alilelewa na mama yake na binamu Ty Barton Jr. huko
Deerfield Beach
. Alihitimu Shule ya Upili ya Deerfield Beach.
Hapo awali alikuwa amesainiwa na lebo ya
DJ Khaled
We the Best Music Group
,
Def Jam Recordings
na
Cash Money Record
. Albamu yake ya kwanza kutoka ni
Gutta
-. Ametoa Albamu nne
Blood
,
Sweat & Tears
(2011) na
Trials & Tribulations
(2013). Anajulikana zaidi kwa nyimbo kali "
Hustle Hard
" na "
Bugatti
".
|
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Ace Hood
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|