Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
10 Novemba
ni
siku
ya 314 ya
mwaka
(ya 315 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 51.
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Papa Leo I
,
Demetriani
,
Oreste wa Tiana
,
Probo wa Ravenna
,
Narsete na Yosefu
,
Yusto wa Kantaberi
,
Andrea Avellino
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
10 Novemba
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|