Emile Friant ( 16 Aprili , 1863 - 6 Novemba , 1932 ) alikuwa mchoraji kutoka Ufaransa . Pia alikuwa profesa wa sanaa katika Chuo cha Sanaa Nzuri (Ecole des Beaux-Arts) mjini Paris . Yeye ilipatiwa tuzo la Medali ya Heshima (Legion d'honneur) na alikuwa ni mwanachama wa Taasisi ya Ufaransa (Institut de France).