Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wasia
(pia:
Wosia, Usia
, kutoka
Kiarabu
; kwa
Kiingereza
:
Testament
) ni maelezo yanayotolewa na mtu ili yatekelezwe na watakaobaki baada ya
kifo
chake au kuondoka kwake mahali, hasa ugawaji wa
mali
alizoacha.
Vilevile yanaweza kuwa
maadili
mema kuhusu
maisha
na mwenendo mzuri ambao mtu anapewa na mwingine ambaye kwa kawaida anamzidi
umri
.
|
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Wasia
kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|