Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mtakatifu Marko
Mfululizo wa kurasa juu ya Yesu
|
|
|
|
Mtakatifu Marko
(kwa
Kilatini
M?rcus; kwa
Kigiriki
Μ?ρκο?) aliishi katika
karne ya 1
BK
. Alikuwa
Myahudi
wa
Yerusalemu
aliyeongokea mapema
Ukristo
pamoja na
Maria mama yake
.
Kanisa
la kwanza lilikuwa linakusanyika nyumbani mwao.
Alifanya kazi na mitume
Paulo
na
Barnaba
katika kuhubiri
Injili
huko
Kupro
na
Uturuki
wa leo.
Baadaye alikuwa na
Mtume Petro
na Paulo katika
mji
wa
Roma
hadi walipouawa na
serikali
ya
Kaisari
Nero
(
dhuluma
ya miaka
64
-
68
).
Ndipo, kwa kufuata mafundisho ya Petro aliyemwita mwanae, alipoamua kuandika
Injili
ya kwanza, iliyotumiwa na kufuatwa na
Mtume Mathayo
na
Mwinjili Luka
, ingawa katika orodha za
Biblia
inashika nafasi ya pili.
Kadiri ya
mapokeo
alifariki wakati akifanya kazi ya kuanzisha Kanisa huko
Aleksandria
nchini
Misri
.
Tangu kale anaheshimiwa na
madhehebu
mengi ya
Ukristo
kama
mtakatifu
.
Sikukuu
yake huadhimishwa
tarehe
25 Aprili
[1]
.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Mtakatifu Marko
kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|