Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Gaziantep
Gaziantep
(kwa
Kiosmani Kituruki
;
Ayintap
;
jina
la zamani na hadi leo linatumika kufupisha kama:
Antep
) ni
mji mkuu
wa
Jimbo la Gaziantep
nchini
Uturuki
.
Mji
huu unatazamwa kama moja kati ya miji ya kale
duniani
ambayo hadi leo bado inakaliwa.
Mji huo una vituo viwili vya
utawala
wa
wilaya
zake,
?ahinbey
na
?ehitkamil
, na unakaliwa na wakazi wapatao 1,237,874
[1]
(2007) na una eneo la
kilomita za mraba
zipatazo 2,138.
[2]
Huu ni mji wa sita kwa ukubwa nchini Uturuki na ndio mji mkubwa katika
Anatolia
ya Kusini-Mashariki - Uturuki.
Mji ulikuwa ukijulikana na
Wagiriki wa Kale
na
Waroma
kama
Doliche
au
Dolichenus
(kwa
Kituruki
: Duluk).
Waarabu
,
Waseljuk
,
Waosma
walilijua kama
?Aintab
au
Aintab
, ambalo linatokana na
Kiarabu
Ayn
(chemchem) na
tab
(nzuri).
Tangu
tarehe
8 Februari
1921
,
[3]
.
Mji ulipewa jina rasmi la
Gaziantep
,
gazi
kwa Kiarabu likiwa na maana ya mkongwe.
|
---|
| Bendera ya Uturuki
|
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Uturuki
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Gaziantep
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|