Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alfred Nobel
(
21 Oktoba
1833
?
10 Desemba
1896
) alikuwa
mhandisi
na mwenye
viwanda
wa nchi ya
Sweden
.
Mwaka wa
1867
aligundua jinsi ya kutengeneza
baruti
kali. Pia aliboresha
utoneshaji
wa
mafuta
. Akafaulu kiuchumi akawa tajiri na wakati uleule mwenye wasiwasi kuhusu matumizi ya baruti aliyogundua kwa sababu aliona matumizi mabaya kwa ajili ya
silaha
. Hivyo katika hati yake ya
wasia
alianzisha
Tuzo ya Nobel
kwa ajili ya mafanikio ya
kisayansi
lakini pia kwa ajili ya
amani
duniani
.
Kuanzia ilipoanzishwa tuzo ya Nobel watu mbalimbali wametunukiwa tuzo hiyo kama vile
Albert Einstein
,
Niels Bohr
,
Max Planck
,
Mama Teresa
,
Nelson Mandela
n.k.
|
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Alfred Nobel
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|