Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Afyonkarahisar
(
kifupi
:
Afyon
) ni
mji
uliopo
magharibi
mwa nchi ya
Uturuki
, na ni
mji mkuu
wa
Mkoa wa Afyonkarahisar
. Afyon ni mji uliopo milimani kutoka nchi kavu kuelekea katika pwani ya
Aegean
, takriban
km
250 (mi 155) kutoka kusini-magharibi mwa mji wa
Ankara
hadi kuelekea
Mto Akar
. Kuna mita 1,034 za maporomoko.
Idadi
ya wakazi imefikia 128,516 kwa mujibu wa
sensa
ya mwaka wa 2000.
Kukiwa na
hali ya hewa
ya
baridi
sana,
barabara
zote huenea
barafu
.
Jina
ni la
Kituruki
kwa ajili ya
ngome
nyeusi iliyopo katikati ya mji wa kale. Zamani iliitwa Afyon pekee kutokanana na dawa la
afyuni
lililotengenezwa hapa kwa wingi kutokana na mashamba makubwa ya
mipopi
yanayolimwa katika mazingira ya mji.
Tahajia za zamani zilikuwa zimejumlisha
Karahisar-i Sahip Afium-Kara-hissar
na
Afyon Karahisar
. Mji ulikuwa ukifahamika kama Afyon (afyuni), hadi hapo jina lilipokuja kubadilishwa mwaka 2004 na
bunge
la Uturuki.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
---|
| |
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Uturuki
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Afyonkarahisar
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|