한국   대만   중국   일본 
Afrika ya Kusini - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Afrika ya Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nchi za Afrika ya Kusini

Afrika ya Kusini ni ukanda ulioko kusini mwa bara la Afrika .

Katika hesabu ya UM nchi 5 zifuatazo huhesabiwa kuwa sehemu za ukanda huo:


Jina la nchi au eneo,
bendera
Mji Mkuu
Botswana
Gaborone
Eswatini
Mbabane
Lesotho
Maseru
Namibia
Windhoek
Afrika Kusini
Bloemfontein , Cape Town , Pretoria

Mara nyingi nchi zifuatazo zinatajwa pia kuwa nchi za Afrika ya Kusini: