한국   대만   중국   일본 
Stephen Vincent Benet - Wikipedia, kamusi elezo huru

Stephen Vincent Benet

Stephen Vincent Benet ( 22 Julai 1898 ? 13 Machi 1943 ) alikuwa mshairi na mwandishi wa riwaya na hadithi fupi kutoka nchi ya Marekani . Alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi mara mbili: 1929 na 1944.

Stephen Vincent Benet, 1919
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu .
Je, unajua kitu kuhusu Stephen Vincent Benet kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .