Robert Lefkowitz (amezaliwa 15 Aprili , 1943 ) ni mwanakemia kutoka nchi ya Marekani . Amejulikana hasa kwa utafiti na usanisi wa vipokezi vya adrenalini . Mwaka wa 2012 , pamoja na Brian Kobilka , alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia .