Marejeo
- ↑
Katika Marekani wananchi wanapigia kura wajumbe wa "electoral college" na hao wanamchagua rais wakikutana mara moja tu
- ↑
Ujerumani mkutano maalumu wa "Bundesversammlung" unafanywa na wabunge wote wa
Bundestag
na
idadi
sawa ya wawakilishi wa mabunge ya
majimbo
wanaokutana pamoja kwa uchaguzi wa rais pekee.