Mwanamuziki
ni mtu anayepiga
vyombo vya muziki
kama vile
gitaa
au
piano
au mtu mwenye
kuimba
.
Mwanamuziki ni mtu anayetunga muziki, hata kama anaandika nyimbo kwa ajili ya kupigwa na watu wengine. Mtu anayetunga nyimbo anaitwa
mtunzi
. Kawaida mtunzi huwa haimbi, lakini kuna kipindi mtunzi naye huwa anaimba japokuwa yeye ni mtunzi.
Hapa kuna orodha chache ya wanamuziki maarufu duniani:
Mwanamuziki pia anaweza kuunda kundi la muziki na kuweza kuimba nao pamoja. Kama kundi la muziki lina watu wengi wanaopiga vyombo vya muziki kwa pamoja, kama vile muziki wa kina
Beethoven
, basi inaitwa
orchestra
. Na kama watu wengi wanaimba, kama jinsi inayokuwa katika
kanisa
, hiyo inaitwa
kwaya
. Na kama watu wachache tu wanaimba na kutumia viyombo kadhaa, basi hao wanaitwa
bendi
. Kuna kipindi hata bendi nayo huwa na jina sawa tu na lile la mwimbaji.
Hapa kuna orodha chache ya mabendi maarufu duniani:
Na hapa kuna orodha tena ya
orchestra
mashuhuri duniani:
|
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Mwanamuziki
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|