한국   대만   중국   일본 
Luka Kijana - Wikipedia, kamusi elezo huru

Luka Kijana ( Steiris , Ugiriki , 896 - Steiris , 953 ) alikuwa mkaapweke mwenye karama za pekee, ambaye alianzisha monasteri [1] [2] [3] .

Mt. Luka Kijana (896-953) katika mozaiki ya Monasteri ya Mt. Luka.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu .

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Februari [4] .

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. (Kiitalia) http://www.santiebeati.it/dettaglio/74455
  2. (Kigiriki) ? ?σιο? Λουκ?? ? ?ν Στειρ?? τ?? ?λλ?δο? . 7 Φεβρουαρ?ου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
  3. (Kigiriki) ?νακομιδ? Τιμ?ων Λειψ?νων ?σ?ου Λουκ? το? ?ν Στειρ?? . 3 Μα?ου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu .
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari .