Japani
ni
nchi ya visiwa
katika
Pasifiki
, mkabala wa
mwambao
wa
mashariki
ya
Asia
. Wajapani wenyewe hutumia
jina
la "Nihon" au "Nippon" lenye maana ya "Mwanzo wa jua". Hivyo Japani huitwa pia "Nchi ya Macheo".
Nchi ina eneo la
km²
377.944; na wakazi
milioni
127; idadi hiyo imeanza kupungua.
Japani ni kati ya nchi za
dunia
zilizoendelea sana upande wa
sayansi
,
teknolojia
na
uchumi
. Ilikuwa nchi ya kwanza nje ya
Ulaya
iliyofaulu kujenga jamii ya viwanda.
Jiografia
Miji
Wajapani wengi hukalia sehemu ndogo ya 10% za nchi. Kuna miji kumi yenye wakazi zaidi ya milioni moja. Miji mikubwa ni
Tokyo
,
Yokohama
,
Nagoya
,
Osaka
,
Kyoto
,
Kobe
,
Hiroshima
,
Fukuoka
,
Kitakyushu
,
Sendai
na
Sapporo
.
Usafiri ndani ya Japani ni hasa kwa treni, mabasi na ndege. Treni ya
Shinkansen
visiwani Honshu na Kyushu ni kati ya treni zenye mkasi mkubwa duniani.
Mikoa
Japan ina mikoa
arubaini na saba
. Kila mkoa unasimamiwa na
gavana
mmoja,
bunge
na urasimu utawala. Kila mkoa umegawanyika katika miji na vijiji.
Kwa sasa manispaa za Japani zinaundwa upya kwa kuunganisha mikoa, miji na baadhi ya vijiji. Mabadiliko hayo yatapunguza idadi ya miji nchini Japani.
[1]
Historia
Visiwa vilikaliwa na
binadamu
tangu miaka
30,000 KK
.
Wakazi wa sasa wametokana na mchanganyiko wa makabila asili (kama
Waainu
) na
Wakorea
waliovamia visiwa hivyo.
Uchumi
Utamaduni
ni vyakula kama vile kobe,jongoo, na mbpga za majani....pia njia za kiasili za kuabudu kama kwenye matempo mbalimbali
Dini
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
- Serikali
- Utalii
- Taarifa za jumla
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Japani
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Japani
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|