Edward Donnall Thomas ( 15 Machi , 1920 ? 20 Oktoba , 2012 ) alikuwa daktari kutoka nchi ya Marekani . Hasa alichunguza uhamishaji wa uboho wa mifupa ili kutibu kansa wa damu . Mwaka wa 1990 , pamoja na Joseph Murray alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .