Basilika
ni
jina
la
heshima
kwa ajili ya
kanisa
fulani katika
Kanisa Katoliki
.
Basilika.
Muundo wa basilika hii unaonyesha ukumbi kuu katikati na kumbi za kando kati ya nguzo na ukuta
Kwa
asili
lilikuwa
jengo
rasmi lililotumika huko
Roma ya Kale
kama mahali pa mikutano ya hadhara na maamuzi ya kimahakama.
Jina ni la
Kigiriki
(
aule basilike
, yaani ukumbi wa kifalme), hivyo linaelekeza kuona asili ya majengo hayo upande wa
mashariki
wa
Bahari ya Kati
Basilika kama jengo la kanisa
hariri
Basilika kama mfumo wa pekee wa ujenzi
hariri
Katika fani ya historia ya
usanifu
ni jina kwa ajili ya kanisa liliyojengwa kwa kufuata mfumo wa pekee. Hapu kanisa huwa na ukumbi kuu na kando lake sehemu ya pembeni inayotengwa kwa nguzo. Mara nyingi muundo huu ulikuwa na kumbi mbili za kando lakini kuna pia basilika kubwa zenye kumbi 2 za kando kila upande kwa hiyo jumla 5.
|
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Basilika
kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|