Tarehe
9 Oktoba
ni
siku
ya 282 ya
mwaka
(ya 283 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 83.
- 1777
-
Mtakatifu
Gaspare Bertoni
,
padri
mwanzilishi
kutoka
Italia
- 1800
-
Mtakatifu
Justino de Jacobis
,
C.M.
,
askofu
Mkatoliki
kutoka
Italia
,
mmisionari
nchini
Ethiopia
- 1835
-
Camille Saint-Saens
, mtunzi wa muziki kutoka
Ufaransa
- 1852
-
Hermann Emil Fischer
, mshindi wa
Tuzo ya Nobel ya Kemia
mwaka wa
1902
- 1879
-
Max von Laue
, mshindi wa
Tuzo ya Nobel ya Fizikia
mwaka wa
1914
- 1940
-
John Lennon
,
mwanamuziki
Mwingereza
- 1959
-
Boris Nemtsov
,
mwanasiasa
kutoka
Urusi
- 1979
-
Lecrae
, mwanamuziki kutoka
Marekani
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Denis na wenzake
,
Yohane Leonardi
,
Abrahamu
,
Diodori, Diomede na Didimo
,
Donino wa Fidenza
,
Publia wa Antiokia
,
Gisleno
,
Deusdedit wa Montecassino
,
Alois Bertran
,
John Henry Newman
,
Inosenti wa Imakulata
na wenzake n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
9 Oktoba
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|