한국   대만   중국   일본 
3 Januari - Wikipedia, kamusi elezo huru
Des - Januari - Feb
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 3 Januari ni siku ya tatu ya mwaka . Mpaka uishe zinabaki siku 362 (363 katika miaka mirefu).

Matukio hariri

Waliozaliwa hariri

Waliofariki hariri

Sikukuu hariri

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma , huadhimisha kumbukumbu ya Jina takatifu la Yesu , lakini pia za watakatifu Papa Antero , Teopempto na Teona , Gordio wa Kaisarea , Danieli wa Padua , Teojene wa Pario , Fiorenso wa Vienne , Genoveva wa Nanterre , Lusiano wa Lentini , Kuriakose Elias Chavara n.k.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu .
Je, unajua kitu kuhusu 3 Januari kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .