한국   대만   중국   일본 
18 Novemba - Wikipedia, kamusi elezo huru
Okt - Novemba - Des
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 18 Novemba ni siku ya 322 ya mwaka (ya 323 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 43.

Matukio

hariri

Waliozaliwa

hariri

Waliofariki

hariri

Sikukuu

hariri

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma , huadhimisha kumbukumbu ya kutabaruku mabasilika ya Mtume Petro na Mtume Paulo , lakini pia ya watakatifu Romano wa Kaisarea , Teofredo abati , Odo wa Cluny , Filipina Duchesne n.k.

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu .
Je, unajua kitu kuhusu 18 Novemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .