한국   대만   중국   일본 
Petr ?ech - Wikipedia, kamusi elezo huru

Petr ?ech (amezaliwa Pilsen , 5 Mei 1982 ) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Ucheki , ambaye kwa sasa anaichezea klabu mashuhuri ya mpira wa miguu ya huko Uingereza , maarufu kama Chelsea F.C. na pia timu ya taifa ya Ucheki .

Petr ?ech
binadamu
Jinsia mume  Hariri
Nchi ya uraia Ucheki  Hariri
Nchi anayoitumikia Ucheki  Hariri
Jina katika lugha mama Petr ?ech  Hariri
Jina halisi Petr  Hariri
Jina la familia ?ech  Hariri
Tarehe ya kuzaliwa 20 Mei 1982  Hariri
Mahali alipozaliwa Plze?  Hariri
Mwenzi Martina ?echova  Hariri
Lugha ya asili Kicheki  Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi Kicheki , Kijerumani , Kifaransa , Kiingereza , Kihispania  Hariri
Kazi association football player , ice hockey player , Mwanamichezo  Hariri
Taaluma Mpira wa miguu , ice hockey  Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timu goalkeeper , goaltender  Hariri
Muda wa kazi 1999  Hariri
Work period (end) 2019  Hariri
Mchezo Mpira wa miguu , ice hockey  Hariri
Ameshiriki 2006 FIFA World Cup , UEFA Euro 2004 , UEFA Euro 2008 , UEFA Euro 2012 , UEFA Euro 2016  Hariri
Ligi Czech First League , Ligue 1 , Ligi Kuu Uingereza  Hariri
Tovuti http://www.petr-cech.com  Hariri
Petr ?ech
Senior career*
Miaka Timu Apps (Gls)
1999-2001 Chmel Bl?any 27 (0)
2001-2002 Sparta Prague 27 (0)
2002-2004 Stade Rennais 70 (0)
2004-2015 Chelsea FC 333 (0)
2015- Arsenal FC 104 (0)
Timu ya Taifa ya Kandanda
2002?2016 Ucheki 124 (0)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only.
† Appearances (Goals).

Tuzo hariri

Chelsea F.C. hariri

Mshindi

  • FA Premier League: 2004-05,2005-2006,2009-2010,2014-2015
  • Kombe la FA: 2007, 2009, 2010, 2012
  • FA Community Shield: 2005, 2009
  • Football League Cup: 2005, 2007, 2015
  • UEFA Champions League: 2011-2012
  • UEFA Europa League: 2012-2013

Arsenal F.C. hariri

Mshindi

  • Kombe la FA: 2017
  • FA Community Shield: 2015, 2017
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu .
Je, unajua kitu kuhusu Petr ?ech kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .