Elisha Ann Cuthbert
(amezaliwa tar.
30 Novemba
1982
) ni
mwigizaji
wa
filamu
na
tamthilia
kutoka nchini
Kanada
. Cuthbert anafahamika sana kwa vile zamani alikuwa mtangazaji wa kipindi cha televisheni cha Kikanada maarufu kama
Popular Mechanics for Kids
.
Alianza kupata uhusika mkuu kwa mara ya kwanza mnamo mwaka wa 2003, pale alipocheza katika filamu ya
Old School
ikafuatiwa na
The Girl Next Door
. Pia alipata kushiriki katika filamu moja ya mwaka wa 2005
House of Wax
na pia filamu nyingine ya kutisha ya mwaka wa 2007 -
Captivity
.
Uhusika uliompa umaarufu zaidi ni pale alipocheza kama
Kim Bauer
katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama
24
.
Mwaka
|
Filamu
|
Aliigiza kama
|
Maelezo
|
1996
|
Dancing on the Moon
|
Sarah
|
|
1997
|
Mail to the Chief
|
Madison Osgood
|
|
Nico the Unicorn
|
Carolyn Price
|
|
1998
|
Airspeed
|
Nicole Stone
|
|
1999
|
Believe
|
Katherine Winslowe
|
|
Time at the Top
|
Susan Shawson
|
|
2000
|
Who Gets the House?
|
Emily Reece
|
|
2001
|
Lucky Girl
|
Katlin Palmerson
|
|
2003
|
Love Actually
|
American Goddess Carol
|
|
Old School
|
Darcie Goldberg
|
|
2004
|
The Girl Next Door
|
Danielle (aka "D")
|
|
2005
|
House of Wax
|
Carly Jones
|
|
2006
|
The Quiet
|
Nina Deer
|
|
2007
|
Captivity
|
Jennifer Tree
|
|
He Was a Quiet Man
|
Vanessa
|
|
2008
|
My Sassy Girl
|
Jordan Roark
|
|
Guns]]
|
Frances Dett
|
|
2009
|
The Six Wives of Henry Lefay
|
Barbara Lefay/Barby
|
|
Vipindi vya mfululizo
hariri
Mwaka
|
Jina
|
Aliigiza kama
|
1997?2000
|
Popular Mechanics for Kids
|
Yeye mwenyewe
|
1999?2000
|
Are You Afraid of the Dark?
|
Megan
|
2001
|
Largo Winch
|
Abby
|
2004
|
MADtv
|
Yeye mwenyewe na
Kim Bauer
("24" parody)
|
2001?2004, 2006, 2008?2010
|
24
|
Kim Bauer
|
2010
|
The Forgotten
|
Maxine Denver
|
2010?2011
|
Happy Endings
|
Alex
|
Viungo vya Nje
hariri
|
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Elisha Cuthbert
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|