한국   대만   중국   일본 
Askofu wa jimbo - Wikipedia, kamusi elezo huru

Askofu wa jimbo ni askofu ambayo anachunga kwa mamlaka kamili jimbo fulani. Kwa msingi huo anatofautiana na askofu mwandamizi , askofu msaidizi n.k.

Katika Kanisa Katoliki [1] ni kazi yake kufundisha, kutakasa na kuongoza waamini wote wa jimbo lake [2] akisaidiwa na ma padri na ma shemasi . [3]

Footnotes

hariri
  1. "Canon 376" . 1983 Code of Canon Law . Libreria Editrice Vaticana . Iliwekwa mnamo 27 Julai 2009 . {{ cite web }} : Unknown parameter |dateformat= ignored ( help )
  2. "Canon 369" . 1983 Code of Canon Law . Libreria Editrice Vaticana . Iliwekwa mnamo 27 Julai 2009 . {{ cite web }} : Unknown parameter |dateformat= ignored ( help )
  3. "Canon 381" . 1983 Code of Canon Law . Libreria Editrice Vaticana . Iliwekwa mnamo 27 Julai 2009 . {{ cite web }} : Unknown parameter |dateformat= ignored ( help )