No live streaming currently available
Mawaziri wa mambo ya nje wa mataifa wanachama wa Umoja wa Ulaya ? EU wamekusanyika Brussels kwa mkutano Jumatatu kujadili uvamizi wa Russia nchini Ukraine na hali ya usalama huko Mashariki ya Kati.
No media source currently available
Sikiliza Michezo na Fuatilia Michuano hiyo kupitia Idhaa ya Sauti ya Amerika. Msimu wa BAL 2024 utashirikisha timu za vilabu vya 12 kutoka nchi 12 za Afrika wakicheza michezo 48 ambayo haijawahi kutokea katika mataifa manne ya Afrika --
Wawakilishi wa Burundi katika michuano ya mwaka huu ya Ligi ya Mpira wa Kikapu Afrika- BAL katika mashindano yanayofadhiliwa na Chama cha mpira wa Kikapu NBA tawi la Afrika Jumatatu walipoteza ushiriki wao baada ya kukataa kuvaa jezi yenye nembo ya Visit Rwanda.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari
Jenerali wa juu wa kijeshi kutoka jeshi la Sudan amefuta uwezekano wa sitisho la mapigano katika mwezi mtukufu wa Ramadan, mpaka pale kundi la kijeshi linalo pigana na serikali litakapo ondoka kwenye maeneo ya raia na umma.